Ajira mpya:: Nafasi za kazi Sensa 2022 Tanzania

A brief description of the census

A census is a process of obtaining and maintaining information about a particular population, settlement or institution. It is also a regular system of calculating the population.

 

The census differs from the sample method where information is obtained from only a small fraction of the population, sometimes as a census estimate. Census data are commonly used for research, marketing, and planning as the best method for sample research. In some countries, census data is used to divide representations in the national assembly (sometimes controversial – see example Utah v. Evans).

 

It is widely recognized that population and housing are essential for the planning of any community. Traditional census methods, however, have become more expensive.

By 2022, Census jobs will be officially announced in August. Basically subscribe to our employmentstz.com website for all updates, because those jobs will be advertised here.

 

Click Nafasi za kazi

18 Comments

 1. Nukuu kichwa cha habari tajwa hapo juu,Mimi ni kijana Wakitanzani mwenye umri wa miaka 20 Mkazi wa Morogoro wilaya ya Morogoro Mjini .
  Nina elimu ya shahada ya uhandisi umeme pamoja na vifaa tiba niliyoipata katika chuo cha kati cha mafunzo Arusha kilichopo sakina jijini Arusha.
  Lengo lakukuandikia ujumbe huu mfupi ni kukuomba nafasi ya kushiriki katika zoezi zima la sensa( kuhesabu watu) litakalotarajiwa kunza mnamo mwaka huu mwezi Agosti.
  Natumai nitakua na mchango katika kupeleka taifa letu mbele kupitia elimu yangu.

  Wako katika ujenzi wa taifa
  M.M.baraka.

 2. Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Buhare community development training institute mwaka wa kwanza nimehitimu shule ya sekondari mwaka 2020 nimetuma maombi aya ya kuhesabu sensa ili nikajenge taifa kwa maana kauli ya mama samia inasema kazi iendelee.Asanteni

 3. Habari
  Narejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 34,Mkazi wa Dar-es-salaam,Ni mwalimu,
  Dhumuni la kuandika ujumbe huu mfupi ni kuomba kushiriki katika zoezi zima la sensa na makazi ya watu,linalotarajia kuanza mwezi Agosti mwaka huu!
  Natumaini ombi langu litakubalika
  Asante.

  Wako katika ujenzi wa Taifa
  Nyangi I. Nyamhoza

 4. Habari,
  Narejea kichwa cha hapo juu Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 19 kutoka mkoa wa Dodoma ,wilaya ya Dodoma mjini kata ya mnadani ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021
  Dhumuni la kuandika ujumbe huu mfupi nikuomba nafasi ya kushiriki katika zoezi zima la sensa nauelewa mkubwa kuhusu sensa natumaini nitafanya kadri mwenyezi mungu atakavoniwezesha.
  Wako katika ujenzi wa taifa.
  Shamila .j. Muhunga
  255783976553

 5. Habari
  Narejes kichwa Cha hapo juu.Mimi ni mtanzania mwenyew umri wa miaka 23 Ni mkazi wa dar es salaam nina Shahada ya Afya ya maendeleo ya jamii .Lengo Kuandika ujumbe huu mfupi ni kuomba kushiriki katika zoezi Zima la sensa linalotarajiwa kufanyika mwenzi Agosti
  Natumaini ombi langu litakubaliwa
  Wako katika kazi
  J.A.Kiria

  1. Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu.Mimi naitwa Emmanuel Nibisoni Yasiwa,nina umri wa miaka 34,mkazi wa Songwe,wilaya ya mbozi,Elimu yangu ni Stashahada ya usimamizi na utawala wa Elimu,nilioipata chuo cha Adem campus ya Mbeya.Ninaomba nafasi ya kushiriki katika zoezi zima la Sensa(kuhesabu watu)linalotarajiwa kuanza mnamo Agosti 2022.Natumaini ombi langu litapokelewa.
   Wako katika ujenzi wa taifa
   E.N.Yasiwa

  2. Mimi khamis Juma mohd nimemaliza sekondari mwaka 2011 naoajira yauandishi wasensa kwaajili yakujenga taifa langu

 6. HABARI
  Rejea kichwa Cha hapo juu.Mimi ni mtanzania mwenyew umri wa miaka 26 Ni mkazi wa mbeya nina shahada uhasibu ya maendeleo ya jamii .Lengo Kuandika ujumbe huu mfupi ni kuomba kushiriki katika zoezi zima la sensa linalotarajiwa kufanyika mwenzi Agosti
  Natumaini ombi langu litakubaliwa
  Wako katika kujenga Taifa

 7. Mimi ni Catherine Sanga, ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa kigoma-airport, Nina ELIMU ya Utabibu, Lengo la kuandika ujumbe huu ni kuomba nafasi ya kushiriki katika ukusanyaji wa kuhesabu watu yaani sensa linalotalajiwa kuanza August mwaka huu, Natumain ombi langu langu litasikilizwa. Wenu katika ujenzi wa taifa.

 8. YAH: OMBI LA NAFASI YA KALANI MWANDIKISHAJI WA SENSA YA WATU 2022. Husika na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza. Mimi Tumain Chesko Kaduma Nina umri wa miaka 24, Napatikana Kijiji Cha Ibumila Kata ya kichiwa, wilaya ya Njombe, Mkoa wa Njombe. Nimeomba nafasi ya uandikishaji wa sensa ya watu 2022 Nimehitimu mafunzo ya shahada ya ualimu katika chuo Cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere kampusi ya kivukoni kigamboni Dar es salaam kwa namba za usajili MNMA/BD.EGK/0844/18. Hivyo nitakuwa tayari kufanya kazi katika kituo chochote na sehemu yoyote nitakayopangiwa na kwa uaminifu. Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa. Wako katika ujenzi wa taifa. T.c.kaduma. TUMAIN CHESKO KADUMA. S.L.P323 NJOMBE. Mawasiliano 0658093317 au 0743148842

 9. YAH: OMBI LA NAFASI YA KALANI MWANDIKISHAJI WA SENSA YA WATU 2022. Husika na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza. Mimi Tumain Chesko Kaduma Nina umri wa miaka 24, Napatikana Kijiji Cha Ibumila Kata ya kichiwa, wilaya ya Njombe, Mkoa wa Njombe. Nimeomba nafasi ya uandikishaji wa sensa ya watu mwezi wa nane 2022 Nimehitimu mafunzo ya shahada ya ualimu katika chuo Cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere kampusi ya kivukoni kigamboni Dar es salaam kwa namba za usajili MNMA/BD.EGK/0844/18. Hivyo nitakuwa tayari kufanya kazi katika kituo chochote na sehemu yoyote nitakayopangiwa na kwa uaminifu. Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa. Wako katika ujenzi wa taifa. T.c.kaduma. TUMAIN CHESKO KADUMA. S.L.P323 NJOMBE. Mawasiliano 0658093317 au 0743148842

 10. YAH:OMBI LA NAFASI YA KARANI MWANDIKISHAJI WA SENSA YA WATU 2022.
  Husika na mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza.
  Mimi ni Chiku Ahmadi Nina umri wa miaka 24,Napatikana Mkoani Morogoro mjini ni Mwalimu .
  Dhumuni la kuandika ujumbe huu
  Mfupi ni kuomba kushiriki katika zoezi zima la sensa ,linalotarajia kuanza mwezi Agosti mwaka huu .
  Natumaini Ombi langu litakubalika
  Wako katika ujenzi wa Taifa .
  C.A.Athumani.

 11. YAHUSU;OMBI LANAFASI YA KARANI MWANDIKISHAJI SENSA YA WATU 2022.
  Rejea kicha Cha barua hii hapo juu Kama kinavoeleza hapo juu.
  Mimi ni Keturina Niduha.miaka 36
  napatika Dar es salaam wilaya ya ubungo kata ya kibamba.Naomba kuhusika katika zoezi la uandikishaji sends ya watu 2022.
  Elimu yangu ni shahada ya manunuzi na usambazaji kutoka chuo Cha Elimu ya biashara CBE.
  Wako katika ujenzi wa Taifa
  Keturina Niduha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ads Blocker Image Powered by Code Help Pro

Ads Blocker Detected!!!

We have detected that you are using extensions to block ads. Please support us by disabling these ads blocker.

Powered By
Best Wordpress Adblock Detecting Plugin | CHP Adblock