nafasi za kujiunga na jkt Tanzania 2022

nafasi za kujiunga na jkt 2022

JKT – Jeshi la Kujenga Taifa/Nation-Building Army

Responsibilities

OBJECTIVES (Objectives)

1. Youth Development

Young people are taught to love one another regardless of differences in ideology, religion, ethnicity, or income.
Love handicrafts.
Valuing and developing the traditions, customs and maintaining the culture of the Nation.
Be good citizens, confident, dedicated, patriotic and patriotic.

2. National Defense

To provide young people with military skills to become a reserve Army, to prepare young people who will be eligible to join other Defense and Security agencies.
To prepare young people to assist in various disasters, such as floods, fires and various accidents.

3.Production Assets

In order to make young Tanzanians avoid the hassle that office work is the only and best way to survive, JKT is responsible for wealth creation with the aim of enabling young people to be self-employed in various sectors immediately after concluding the contract with JKT. Asset production by JKT includes: –
Building and renovating buildings
Industry and Agriculture
Minerals and Energy
Tourism
Security for Private Security Services
Stores (Super Market)
Connecting cars to machinery
Educational services

jkt Jobs

72 Comments

 1. Yah;Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa.husika na kichwa cha habari hapo juu
  Mimi ernesta kalebisoni materu ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nimezaliwa21/4/2002 nina elimu hadi ya form6, na nina ujuzi wa basic computer na mambo ya database.
  Ninatumaini ombi langu litapokelewa asanteni

 2. Yah; kuomba kujiunga na jesh la kujenga taifa JKT kwa mwaka 2022.

  naitwa Marisia Philip Nambuo nimezaliwa 17/3/2002. ninaumri wa miaka 20.nimemaliza kidato cha nne. Ninaomba kujiunga na jesh la kujenga taifa kwa mwaka 2022.natumia ombilangu litajibiwa

 3. Yah, maombi ya kujiunga na jkt kwa kujitolea 2022 husika na mada tajwa apo juu, naitwa MABERI ROBERT ni umri wa miaka 21 ni mtanzania, naomba kujiunga na jkt kwa kujitolea,nina ujuzi wa umeme wa majumbani, natumaini maombi yangu yatajibiwa

 4. Yah:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA TANZANIA

  Rejea mada tajwa hapo juu, Mimi FLAVIUS CHACHA MWITA, muhitimu wa kidato Cha nne mwaka 2020, katika shule ya sekondari Rubana Bunda Mara. Ninaomba nafasi ya kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA kwa kujitolea. Mimi Ni mtanzania umri wangu Ni miaka 20.
  Nitashukuru Kama ombi langu litakubaliwa

  1. Yah:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JWTZ)

   Rejea na mada tajwa hapo juu ,mimi JACKSON DENIS NCHIMBI, mwenye umri wa miaka 21 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2019 katika shule ya secondary NYONI .ninaomba ombi la kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA kwa kujitokea mimi ni mtanzania nitashukuru ombi langu kama litakubalika wako mtiifu

 5. Yah:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JWTZ)

  Rejea na mada tajwa hapo juu ,mimi JACKSON DENIS NCHIMBI, mwenye umri wa miaka 21 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2019 katika shule ya secondary NYONI .ninaomba ombi la kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA kwa kujitokea mimi ni mtanzania nitashukuru ombi langu kama litakubalika wako mtiifu

 6. Yah:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LATAIFA( JWTZ)

  Rejea kichwa tajwa apo juu, Mimi ANTIDIUS RWEGOSHORA BALAMILIZA, mwenye umli wa miaka 19, nimemaliza kidato Cha nne mwaka 2020 katika Shure ya sekondary BUHEMBE mkoa wa kagera BUKOBA manispaa,
  Lengo juu la barua hii ni kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la taifa kwa kujitorea,
  Natumai OMBI langu litakubaliwa

  1. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT). Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, kwa majina yangu naitwa JOHN SAMWEL YOHANA nina umri wa miaka 22 kwa sasa nimemaliza elimu yangu ya chuo na pia nina ujuzi katika fani mbalimbali kama vile udereva, alminium, computer application, ufugaji pia na ujasiriamali.Natumaini ombi langu litasikilizwa na litajibiwa kwa matokeo mema kwa nia ya kujenga taifa letu sote pamoja. Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa Taifa.

 7. YAH;MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
  Husika na mada tajwa hapo juu Mimi ni ALPHA RAPHAEL MADAHA, nina miaka 19 nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021 katika mkoa wa Dodoma wilaya ya mpwapwa
  Matumaini ombi langu litakubaliwa
  Wako mtiifu
  A.R.Madaha
  ALPHA RAPHAEL MADAHA.

 8. YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
  Husika na mada tajwa hapo juu.
  Mimi Elizabeth Simon Ezekiel nina umri wa miaka 25 naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2013, pia ni mhitimu wa chuo cha Veta kwa fani ya secretary level III mnano 2017
  Nimatumaini yangu kuwa ombi langu litapokelewa na kufanyiwa kazi
  Wako katika ujenzi wa Taifa.
  Namba za cmu 0746144530/0656120324

 9. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT).
  Husika na mada tajwa hapo juu.
  Mimi Baraka Richard Enos ninaumri wa miaka 20, ninaelimu ya kidato cha nne ninaomba kujiunga na jeshi lakujenga taifa (jkt) 2022.
  Kwako katika ujenzi wa taifa.
  B.R.Enos,
  Baraka Richard.

 10. Yah:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LATAIFA( JWTZ)
  Rejea kichwa tajwa apo juu, Mimi DICKSON JULIUS, mwenye umli wa miaka 20, nimemaliza kidato Cha nne mwaka 2021 katika Shure ya sekondary MWADUI TECHNICAL mkoa wa SHINYANGA.
  Lengo juu la barua hii ni kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la taifa kwa kujitorea,
  Natumai OMBI langu litakubaliwa.
  namba zangu za simu ni 0688384006

 11. Yah:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT)
  Rejea kichwa tajwa apo juu, Mimi DICKSON JULIUS, mwenye umli wa miaka 20, nimemaliza kidato Cha nne mwaka 2021 katika Shure ya sekondary MWADUI TECHNICAL mkoa wa SHINYANGA.
  Lengo juu la barua hii ni kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la taifa kwa kujitorea,
  Natumai OMBI langu litakubaliwa.
  namba zangu za simu ni 0688384006

 12. YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JKT MW AKA 2022. Tafadhali husika na mada hiyo hapo juu. Mimi kwa majina naitwa Suleiman Abdallah Massoud nimemaliza form four mwaka 2018 naomba kujenga taifa nina umri 25 .namba za simu .0621258713 na 0777656735 . Ahsante. Wako mtifu SULEIMAN ABDALLA MASSOUD .

 13. Yah, KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT MWAKA 2022, Rejea kichawa cha habari hapo juu kwa Nina naitwa yusuphu rahimu mussa, nimemaliz form 4 ,mwaka 2019ninaumri w miaka 20,naomba kujiunga na jeshi La kujenga taifa, natumain ombi language litafanikiwa,0659914572.

 14. YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA(JKT)
  JESHI LA KUJENGA TAIFA MWAKA 2022,
  Tafadhali rejea na kichwa tajwa hapo juu Naitwa Salome Issaya ndanshau ni msichana mwenyewe umbri wa miaka mitatu 23 nimemaliza form four mwaka 2018.
  Niko tayari kupokea maelekezo yoyote ili kujenga taifa. Nimatumaini yangu kuwa ombi langu litajibiwa.
  Asantee namba zangu ni 0763280015

 15. YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA(JKT)
  JESHI LA KUJENGA TAIFA MWAKA 2022,
  Tafadhali rejea na kichwa tajwa hapo juu Naitwa Salome Issaya ndanshau ni msichana mwenyewe umbri wa miaka 23 nimemaliza form four mwaka 2018.
  Niko tayari kupokea maelekezo yoyote ili kujenga taifa. Nimatumaini yangu kuwa ombi langu litajibiwa.
  Asantee namba zangu ni 0763280015

 16. Yeah, ombi la kujiunga na nafasi ya jeshi La kujenga taifa mwaka 2022.mimi festo kabuje Simon, mwenye umri Wa miaka20.nimemaliza kidato cha nne mwaka 2019 pia nategemea kumaliza mafunzo ya ualimu elimu ya msingi mwezi Wa 5 mwaka 2022.pia Nina ujuzi Wa kompyuta, natumaini ombilangu litakubaliwa.kwako katika kujenga taiga.

 17. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT)MWAKA 2022.

  Rejea kichwa cha hapo juu
  Mimi Festo kabuje Simon, nimezaliwa mnamo tarehe 25 mwezi 4 mwaka 2002.pia nimemaliza kidato cha nne mwaka 2019 , pia nategemea kumaliza mafunzo ya ualimu elimu ya msingi mwezi 5 mwaka 2022 pia Nina ufahamu kuhusiana na matumizi ya komputa na ujasiriamali Wa ufugaji.
  Niko tayari kupokea maelekezo yeyote Kwa ajiri ya kujenga taiga.
  Natumaini ombi langu litakubaliwa, wako katika kujenga taifa.
  Andante namba zangu ni 0699346137.

 18. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT)MWAKA 2022.

  Rejea kichwa cha hapo juu
  Mimi Festo kabuje Simon, nimezaliwa mnamo tarehe 25 mwezi 4 mwaka 2002.pia nimemaliza kidato cha nne mwaka 2019 , pia nategemea kumaliza mafunzo ya ualimu elimu ya msingi mwezi 5 mwaka 2022 pia Nina ufahamu kuhusiana na matumizi ya komputa na ujasiriamali Wa ufugaji.
  Niko tayari kupokea maelekezo yeyote Kwa ajiri ya kujenga taiga.
  Natumaini ombi langu litakubaliwa, wako katika kujenga taifa.
  Andante namba zangu ni 0699346137.

 19. YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) MWAKA 2022
  husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, mim Asia. A. Hassani niliye zaliwa tarehe 23/9/2001.nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018, pia nategemea kumaliza elimu yangu ya chuo mwez wa sita Mwaka 2022, pya Nina ujuzi wa computer,
  Dhumuni La barua yangu nikuomba kujiunga na jeshi La kujenga taifa JKT, nipotayari kupokea maelekezo yoyote kwa ajili yakujenga taifa
  Matumaini yangu ombi langu litakubaliwa.
  Wako katika ujenzi wa kujenga taifa
  A. Hassani
  0747502921

 20. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) MWAKA 2022 husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. mim Fidelis kenyatta amosi nilie zaliwa 22/4/2000. Nimemaliza nimemaliza kidato cha nne 2018 pia niaujuzi wa kuendesha magari na kutengeneza dhumuni la barua yang nikuomba kujiunga na jeshi la kujenga taifa JKT, nipotayari kupokea maelekezo yoyote kwaajili ya kuijenga na taifa. Natumaini ombi langu nitakubaliwa nipo Kagera biharamulo nyakanazi kwa mawasilion 0744881345 nitashukuru sana ombi lang likikubaliwa

 21. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) MWAKA 2022 husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu. Mim ni Fidelis kenyatta amosi nilie zaliwa 22/4/2022 nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 ninaujuzi wa kuendesha magari na ufundi pia Dhumuni la barua yangu ni kuomba kujiunga na taifa JKT . nipotayari kupokea maelekezo yoyote kwa ajili ya kujenga taifa. Natumaini ombi langu litakubariwa wako katika ujenzi wa kujenga taifa. Nipoa mkoa kagera tanzania wilaya biharamulo namba yanga ya sim ni 0744881345

 22. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) MWAKA 2022 husika na kichwa Cha habari hapo juu Kwa jina naitwa vicent nyamaronge mrango nimezaliwa 12/11/2003 nimemaliza elimu ya kidato Cha nne mwaka 2021 dhumuni langu la barua hii ni kuomba kujiunga na jeshi la kujenga taifa JKT nipo tayali hata Sasa kupokea maelezo yeyote Kwa ajili ya kujenga taifa natumaini ombi langu litakubaliwa kwako katika ujenzi wa taifa nipo mkoa wa dar es salaam wilaya ya ilala namba yangu ya simu ni 0716886594

 23. Kwa majina naitwa Aston Ndodi, kutokea mkoa wa mwanza naomba nafasi ya kujiunga na jkt 2022/2023 kwa kujitolea, Nimezaliwa tarehe 13/3/2000
  Phone number 0763578840.

 24. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) MWAKA 2022.
  Husika na maada iliyo tajwa hapo juu.
  Mimi makangurya matiku mkazi wa Bariadi ninayofuraha kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (JKT).
  Naamini nitaitumikia nafasi hyo Kwa uadilifu na umakini wa hali ya juu Kwa kuwa na Imani na uwezo wangu katika utendaji wa nafasi na utekelezaji wa majukumu yote nitakayopewa kuyakamilisha kwa wakati.
  Ni matumaini maombi yang yatafanyiwa kazi na kuwa mmoja wa vijana wenu wa kujenga taifa.
  Barua hii nimeambatanisha na; Cheti cha kuzaliwa,vyeti vya taaluma pamoja na CV yangu.
  Wako mtiifuu
  _&___&

 25. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) MWAKA 2022.
  Husika na maada iliyo tajwa hapo juu.
  Mimi makangurya matiku mkazi wa Bariadi ninayofuraha kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa (JKT).
  Naamini nitaitumikia nafasi hyo Kwa uadilifu na umakini wa hali ya juu Kwa kuwa na Imani na uwezo wangu katika utendaji wa nafasi na utekelezaji wa majukumu yote nitakayopewa kuyakamilisha kwa wakati.
  Ni matumaini maombi yang yatafanyiwa kazi na kuwa mmoja wa vijana wenu wa kujenga taifa.
  Barua hii nimeambatanisha na; Cheti cha kuzaliwa,vyeti vya taaluma pamoja na CV yangu.
  Wako mtiifuu
  _&___&

 26. YAH:OMBI LAKUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT)
  Husika na kichwa tajwa hapo juu mimi Joseph pelagi mwenye umri mia 21 nlie maliza mafunzo ya ufund magari 2020 naomba kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa mwak 2022 kwa kujitolea natumain ombi language litajibiwa no 0746227763

 27. Yah:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT
  Husika na kichwa tajwa halo juu Mimi yuvenal b kimaro mwenye umri wa miaka (22) nilie itimu kidato Cha 4 2018 naomba kujiunga na jeshi la kujenga taifa jkt 2022.
  Wako katika kujenga taifa
  Yuvenal kimaro
  0688201282

 28. YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT).
  Husika na mada tajwa hapo juu,mimi ALEX KENETH CHILEWA mkazi wa Chanika Dar es salaam nina umri wa miaka 20 nimemaliza form four na nina cheti cha form pia nina fani ya udeleva. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa kujitolea
  Naimani ombi langu litapokelewa ahsante,

 29. YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT).
  Husika na mada tajwa hapo juu,mimi ALEX KENETH CHILEWA mkazi wa Chanika Dar es salaam nina umri wa miaka 20 nimemaliza form four na nina cheti cha form pia nina fani ya udeleva. Naomba nafasi ya kujiunpga na jeshi la kujenga taifa kwa kujitolea
  Naimani ombi langu litapokelewa ahsante,

  1. YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT).
   Husika na mada tajwa hapo juu,mimi ALEX KENETH CHILEWA mkazi wa Chanika Dar es salaam nina umri wa miaka 20 nimemaliza form four na nina cheti cha form pia nina fani ya udeleva. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa kujitolea
   Naimani ombi langu litapokelewa ahsante,

 30. YAH: OMBI LA NAFASI YA KUJIUNGA NA JKT.
  Tafadhari husika na maada tajwa hapo juu
  Mimi no matikho jumha mkazi wa tarime Mara Nina umuri wa miaka 20 nimemaliza form four na pia Nina chati cha four
  Naomba nafasi ya kesho kwa kujitolea.
  Natumaini kuwa ombi langu litakubaliwa.

 31. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA “JKT”
  Tafadhari husika na maada tajwa hapo juu.
  Mimi no matikho jumha werema mkazi wa tarime Mara Nina umuri wa miaka 20 na pia nimemaliza form four Nina Cheti Cha four .
  Naomba nafasi ya kujiunga na kesho la kujenga taifa kwa kujitolea
  Natumaini kuwa ombi langu litapokelewa
  Ni wako mtiifu wa taifa.

 32. YAH;MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA [JKT]
  husika na mada tajwa hapo juu ,mimi STEPHEN SIMION MHABE mkazi wa tarime mara
  nina umri wa miaka 21 nimemaliza form four na nina cheti cha form four
  pia nina fani ya ufamasia. Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa kujitolea
  natumaini ombi langu litashugulikiwa asante
  wako katika ujenzi wa taifa.
  NO;0624515611

 33. YAH. MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA. KUJENGA TAIFA (jkt)
  Husika na mada apo juu Mimi ni John vitus njasy ni nina umri wa miak 19 nimemaliza form four na Nina na cheti Cha form four na Nina certificate ya journalism and mass communication naomba nafasi za za kujiunga na jeshi natumaini ombi langu litashungulikiwa Asante wako katika ujenzi wa taifa
  No yangu ni 0748220591

 34. YAH;OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI
  LA KUJENGA TAIFA (JKT) 2022.
  Husika na mada tajwa hapo juu yajieleza yenyewe Mimi ni Julius Laurent Nyaga nina umri wa miaka 23 Elimu yangu ni kidato cha nne ninaomba nafasi ya kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea.
  Natumaini ombi langu litashughulikiwa na kufanyiwa kazi Endapo nikipokelewa ombi langu namba yangu ya simu ni 0699456487.
  Wako katika Ujenzi wa Taifa
  J.L.Nyaga.
  Julius Laurent Nyaga

 35. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT).

  Husika na mada apo juu, mimi Haruna Salehe Muhinge mkazi wa dar-es-salaam mwenye umri wa miaka 21, nina cheti cha kidato cha nne pia nimemaliza stashahada ya ufundi dawa.
  Naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa kujitolea
  natumaini ombi langu litashugulikiwa asante
  wako katika ujenzi wa taifa.
  Mawasiliano :0756058422

 36. ERICK A MTEMELWA
  S.L.P 114
  CHIMALA-MBEYA
  12/03/2022
  Yah; OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA TANZANIA.
  Husika na kichwa cha barua hapo juu,
  Mimi ERICK AMELY MTEMELWA ni mhitimu wa astashahada ya kilimo na mifugo ninaomba nafasi ya kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA TANZANIA.
  Natumain ombi langu litajibiwa
  wako katika ujenzi wa taifa.
  E.Mtemelwa
  0753316460

 37. RAMADHAN SHABAN DEDE
  S.L.P 88
  NGUDU-KWIMBA
  MWANZA.
  13/03/2022
  YAH;OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA TANZANIA.
  Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu,
  Mimi RAMADHAN SHABAN DEDE ni mhitimu wa kidato cha nne na mafunzo ya VETA ninaujuzi wa mambo mbalimbali
  Ninaomba nafasi ya kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT)
  Natumaini ombi langu litakubaliwa
  Wako katika ujenzi wa taifa.
  R.dede
  RAMADHAN SHABAN DEDE
  0686662848,0689511033

  1. Said omary,
   S. L. P 16,
   MNYAMBE-NEWALA
   MTWARA
   15/03/2022.
   yah ; MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
   Husika na kichwa hapo juu. Mimi SAID OMARY niliyehitimu elimu ya kidato cha nne mwenye umri wa miaka 21ninaomba kujiunga na jeshi la kijenga taifa(JKT).
   Natumai ombi langu litakubiliwa.
   Wako katika kazi
   S. Omary
   Said Omary ; 0674524502

 38. YAHOMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA TANZANIA
  Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi Winifrida Ngule Stephano ni muhitimu wa kidato cha nne na mafunzo ya veta ninujuzi w mambo mbalimbali
  Naomba nafasi ya kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa (JKT)
  Natumaini ombi langu litakubaliwa
  wako katika ujenzi wa Taifa
  W.stephano
  WINFRIDA NGULE STEPHANO
  0747354576,0759402266

 39. KASSIMU ZAKAYO NGUVILA
  17/03/2022 at 9:33pm

  YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT).
  Husika na kichwa Cha habari hapo juu, Mimi kassimu zakayo nguvila ni muhitimu wa kidato Cha nne mwaka 2018, naomba kujiunga na jeshi la kujenga taifa nimezaliwa tarehe 13/12/2000 ni mzaliwa wa iringa
  Nitashukuru sana kama ombi langu litakubaliwa mawasiliano namba yangu ya simu ni 0692316691/0719166258 Asanteni, wako katika ujezi wa kujenga taifa letu.

 40. NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT KUJITOLEA.
  Husika na mada tajwa hapo juu naitwa THEOPHIL .P. MACHA wa dar es salaam nina umri wa miaka 19 niliemaliza kidato cha nne mwaka 2021 naomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kujitolea nitafurahi kama ombi langu litasikilizwa.
  T.P.Macha
  Theophil peter macha.

 41. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT).
  Husika mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 19 na elimu ya kidato cha sita. Ninaomba nafasi hii kwani ninamapenzi na ndoto za kuwa mzalendo na mlinzi bora wa mipaka ya nchi yangu.
  Nitafulahi endapo ombi langu litafanikiwa.
  Wako mtiifu,
  AHAD NESTORY MACHUPA.
  (0715772875).

 42. YAH:MAOMBI YA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT)
  Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mim ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 20 nimehitimu kidato cha nne mwaka2019. Nimepata tangazo hili la kujiunga na jeshi la kujenga taifa(JKT). Hivyo basi ninaomba nafasi hii ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa(JKT). Pia naninaujuzi wa kutengeneza umeme na computer.
  Nimatumaini yangu ombi langu lita shughulikiwa.
  Wako katika kujenga taifa
  Ayubu A.chalale
  Simu no:0758761226

  1. YAH:KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ( JKT). Husika na Mada tajwa hapo juu.mimi nikijana wa kitanzania umri wangu ni miaka29 Nimehitimu kidato cha sita 2018.Ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi la taifa kwani ndoto yangu nikuwa mzalendo wa kulinda taifa langu . Nitafrahi endapo ombi langu lita kubaliwa. Wako mtiifu katika ujenzi wakitaifa, Mawazo Adam Mnkondya. Namba ya simu 0748280722

  2. YAH:KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ( JKT). Husika na Mada tajwa hapo juu.mimi nikijana wa kitanzania umri wangu ni miaka29 Nimehitimu kidato cha sita 2018.Ninaomba nafasi ya kujiunga na jeshi la taifa kwani ndoto yangu nikuwa mzalendo wa kulinda taifa langu . Nitafrahi endapo ombi langu lita kubaliwa. Wako mtiifu katika ujenzi wakitaifa, Mawazo Adam Mnkondya. Namba ya simu 0748280722

 43. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) 2022.
  Husika mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye miaka 19 na elimu ya kidato cha sita. Naomba nafasi hii kwani nindoto na mapenzi ya kuja kuwa jasiri, mzalendo na mkakamavu kwa nchi yangu.
  Nitafulahi ombi langu litakubaliwa.
  Wako katika maombi
  A.N.Machupa
  AHAD NESTORY MACHUPA
  (0715772875)

 44. YAH:KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT).
  Husika na mada tajwa hapo juu mimi Ni Greyson Fredy Nombo kijana mwenyew umri wa miaka 18 nimezaliwa tareh 20,05,2003 nimehitimu kidato Cha nne 2021 mkoan Ruvuma Shule yenye usajiri wa S.3126/0050 Nina ufaulu wa division four ya 26 napenda kulitumikia taifa langu kwa moyo wangu wote Ni natumain yangu ombi langu litakubalika mim Ni Greyson nombo G.Nombo Sim namba 0626522275 au 0693591458

 45. Ndaki dotto kalegi ,,, 25 March 2022 ,21:43 pm yah; ombi la kujiunga na jkt, husika na kichwa hapo juu naomba nafasi ya kujiunga na Jeshi la kujenga taifa Nina umri wa miaka 25 nimemaliza kidato Cha nne mwaka 2016 nitashukuru Sana endapo ombi langu litapokelewa namba ya simu; 0787479074

 46. YAH: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MWAKA 2022.
  Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Daniel Ezekiel ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 22 niliye hitimu kidato cha 6.
  Naomba nafasi hii kwani natamani kulitumikia taifa langu pamoja na wananchi wenzangu kwa moyo wangu wote, nguvu zangu zote na akili yangu yote. Natumaini ombi langu litakubaliwa asante.

 47. YAH:KUOMBA NAFASI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT). Husika na kichwa cha barua kama kinavojieleza, mim ni kelvin shaibu kalinga mwenye umri wa miaka18 nimehitimu elimu ya sekondar katika shule ya Samora machel mbeya mjini natak na napenda kuwa mtumish katika jeshi la kujenga taifa langu napenda kulitumikia taifa. Nitafurah san ombi langu likikubaliwa asante .0755288659

 48. YAH: MAOMBI YA KIJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT)
  MWAKA 2022.
  Mimi JOSEPH CHRISTOPHER KOMBA. Mwenye umri wa miaka 21. Njmemaliza elimu ya kidato cha nne mwaka 2019. Pia natarajia kumaliza mafunzo ya ualimu ngazi ya msingi mnamo mwezi wa tano mwaka huu. Na ninauzoefu wa COPUTER PROGRAM.
  Nikotayari kulitumikia Taifa langu TANZANIA.
  natumaini ombi langu lutakubaliwa.
  WAKO KATIKA KUJENGA TAIFA
  J.KOMBA
  namba zangu za simu:0710206059

 49. Yah:MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) KWA MWAKA 2022.
  Husika na kichwa cha habari,, kwa majina naitwa SHIJA MASALU MATHIAS nina umri wa miaka 21 nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 katika shule ya sekondari shamaliwa iliyopo Mwanza natuma ujumbe huu kwaajili ya kuomba nafasi ya kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwa mwaka 2022 kwa kujitolea kama kijana mzawa wa Tanzania,, fani yangu ni ufundi wa kupaka rangi nimesoma katika chuo cha veta-Mwanza.
  Natumaini nitakubaliwa ombi langu,
  Wenu katika ujenzi wa taifa..
  Namba yangu ya simu
  0746702875

 50. Yah: MAOMBI YA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT.) KWA MWAKA 2022.
  Husika na kichwa cha habari ,,
  Kwa majina naitwa YOHANA SAMWEL ZABLONE Nina umri wa miaka 20 nimehitimu kidato cha nne 2020 katika shule ya secondary BWERI iliopo MUSOMA mjini mkoa wa MARA natuma ujumbe huu kwaajili ya kuomba nafasi ya kujiunga na JESHI LA KUJENGA TAIFA kwa mwaka 2022 kwa kujitolea kama kijana mzawa wa TANZANIA ,,
  Fani yangu ya UPISHI nilio ipata katika kiwanda cha bakery musoma mjini.
  Natumaini ombi langu,litakubaliwa .
  Wenu katika ujenzi wa TAIFA..
  YOHANA S ZABLONE.
  0621883043

 51. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT KWA MWAKA 2022
  Rejea mada tajwa hapo juu, kwa majina naitwa kelvin Frank Marco n kijana mwenye umri wa miaka 18,nimezaliwa 02/04/2004 na nimehitimu elimu ya kidato Cha 4 mwaka 2020 shule ya secondari hirbadaw iliyoko mkoani manyara , wilaya ya hanang, natumaini ombi langu litakubaliwa, kwako mtiifu
  K. F. Marco
  Kelvin Frank marco

 52. YAHUSU MAOMBI YA KUJIUNGA (JKT) Rejea mada tajwa happy juu Naitwa Afra Innocent nimemaliza kidato Cha nne 2022 Nina Humli wa miaka 20 napenda kuwa mwanajesh niitumikie nchi yangu natokea kyerwa kagera natanguliza shukran iwapo nitafa nitafanikiwa

 53. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) husika na kichwa cha habari hapo juu naitwa adam Iddy Mbwambo,ni kijana mwenye umri wa miaka 20 naishi tanga pia nimemaliza elimu ya kidato cha nne mwaka 2020 shule ya sekondari nduwen iliyopo wilaya ya tombo ,napatkana kwa namba 0715669987 Wako mtiifu A.i Mbwambo naamini ombi langu litakubalika,ahsante

 54. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) husika na kichwa cha habari hapo juu naitwa adam Iddy Mbwambo,ni kijana mwenye umri wa miaka 20 naishi tanga pia nimemaliza elimu ya kidato cha nne mwaka 2020 shule ya sekondari nduwen iliyopo wilaya ya rombo ,napatkana kwa namba 0715669987 Wako mtiifu A.i Mbwambo naamini ombi langu litakubalika,ahsante

 55. YAH:MAOMBI YA KUJIUNGA NA (JKT) MWAKA 2022
  Rejea Mada tajwa apo juu, kwa majina naitwa elipidius matungwa protace ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimehitimu masomo ya chuo ngazi ya bachelor building engineer mkoa wa kagera wilaya ya bukoba. Natumaini ombi langu litakubaliwa.,Asante mawasiliano yangu ni 0658381623

 56. SHUKRAN.C.SOSPETER, S.L.P 20, MIHANGA-MUHEZA,. TANGA. YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI KUJENGA TAIFA(JKT). Rejea maada tajwa hapo juu. Mimi SHUKRAN CHANGARAWE SOSPETER niliyehutimu elimu ya kidato Cha nne mwaka 2022 nina umri wa miaka 22 ninaomba kujiunga na jeshi la kujenga taifa ( JKT)
  natumain ombi langu litakubaliwa.
  Wako katika kujenga taifa
  S.C.SOSPETER. SHUKRAN CHANGARAWE SOSPETER. namba 0766962121 au 0629266332 Au 0653563747

 57. YAH: maombi ya kujiunga na jkt 2022/2023
  Husika na mada tajwa Happ juu:
  Ndg
  Kwamajina na itwa Jackson mechama kutoka mgumu Serengeti Nina elimu ya secondary nina umri wa miaka 19 pia Nina ujuzi wa udereva nlikuwa naomba kujiunga na jkt 2022
  Nitafrahi endapo ombi langu litakubaliwa
  By j.m.mechama
  Jackson mesauta mechama
  Dereva,
  Contact:0788900570/0623300581

 58. Yah: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI
  LA KUJENGA TAIFA (JKT)
  Husika na mada tajwa hapo juu yajieleza yenyewee ni mhitimu wa kidato Cha nne 2020 nina miaka 20 natumai ombi langu litapokelewa vyema
  06258010

 59. Yah: OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI
  LA KUJENGA TAIFA (JKT)
  Husika na mada tajwa hapo juu yajieleza yenyewee ni mhitimu wa kidato Cha nne 2020 nina miaka 20 natumai ombi langu litapokelewa vyema
  0625805010

 60. YAH: MAOMBI YA KUJIUNGA NA JKT WAKUJITOLEA MWAKA 2022.
  Husika na mada tajwa hapo juu. Inayo husu maombi ya kujiunga na jkt wakujitolea. Mimi ni kijana mtania mwenye umri wa miaka 20 nimzaliwa wa mikoa wa kigoma nimehitim kidato cha nne mnamo mwaka 2020.
  Natumai ntakubaliwa ombilangu kama nilivyo omba.
  wako katika kujenga taifa
  H.s.Hussein
  Hussein Swed Hussein

 61. ABDALLAH ISMAIL CHANDE
  S.l.p 39,
  Newala,
  19/5/2022.
  Slp 30
  Newala
  Mtwara,
  YAH;OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ( JKT)
  Husika na mada tajwa hapo juu.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 18 na ni mtanzania niliye hitimu kidato Cha nne mwaka 2021.
  Lengo la kuandika barua hii ni kuomba Kujiunga na jeshi la kujenga taifa kwani ni uzalendo,ujasira na mapenzi juu ya taifa langu.
  Natumai ombi langu litakubaliwa
  Wako katika ujenzi taifa ,
  Ni mimi Abdallah ismail chande
  A.i.chande
  Mwombaji
  0786377770

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ads Blocker Image Powered by Code Help Pro

Ads Blocker Detected!!!

We have detected that you are using extensions to block ads. Please support us by disabling these ads blocker.

Powered By
Best Wordpress Adblock Detecting Plugin | CHP Adblock